
Rapa Future ambaye ni Ex wa staa wa rnb Ciara amesema anaishi kwa furaha baada ya mahusiano yake ni Cici kuisha.
Future ’33’ mbaye ametoa albu mbili kwa wakati mmoja amesema “Maisha yangu kwa sasa ni ya furaha sana, naishi nipendavyo,namini kila kitu kinatokea kwa sababu flani, sasa najua naweza kuwa mtu bora zaidi”
Future aka Nayvadius DeMun Wilburn ana mtoto mmoja na Ciara, Future Zahir ‘2’ na anasema kwa sasa anawahudumia watoto wake wote wanne ,mmoja kutoka kwa Cicina wengine watatu kutoka kwenye mahusiano yake ya zamani.
0 comments:
Post a Comment