Ijumaa
ya tarehe 21 October 2016, Afrika kusini ikiwa ni tawi la Sony Music
Entertainment, kampuni ya masuala ya Entertainment kwa upande wa Afrika,
ilitangaza kumsaini msanii mwingine ndani ya lebo hiyo, Ycee ambaye
anafanya kazi na lebo ya Tinny Entertainment.
Mkataba
aliosaini YCEE unaonesha kuwa Sony Music watasimamia albam yake ya
kwanza na ngoma zake zote zitakazoanza kutoka pamoja na usambazaji wake
kuanzia sasa zitakua chini ya mwavuli wa Sony Music. Kwa shavu hilo
inamaana kuwa Ycee anaungana na Nigerian superstar Davido, pamoja na
Alikiba kwenye familia ya mastar kutoka Afrika walikula deal la Sony
Music.
Kwa mujibu wa Michael Ugwu, General Manager wa Sony Music West Africa amesema “Nina
furaha kubwa sana kuwakaribisha Tinny Entertainment pamoja na msanii
wao Ycee ndani ya familia ya Sony Music Entertainment West Africa.
Nimekuwa nikishuhudia team hii ikikua kwa haraka kwenye miaka ya
karibuni na nimeshangazwa na jinsi walivyoweza kufikka hapa, Ycee ni
msanii mkali sana wa Hip Hop barani Afrika na muda sio mrefu atakua
kwenye level za mbali sana.”
Kwa upande wa Arokodare ‘Tinny’ Timilehin, ambaye ni CEO wa Tinny Entertainment, amesema
“Tuko
na furaha sana kwa upande wetu na msanii wetu Ycee. Huu ni uthibitisho
kuwa tumefanya kazi kubwa sana mpaka kufikia hapa. Na katika kuonesha
furaha yake juu ya deal hiyo,
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment