
Baadhi
ya mastaa wa Afrika walioona mapokezi ya Diamond Dar es salaam
wamependa sana upendo wa Watanzania kujitokeza kumpokea Platnumz baada
ya kushinda tuzo tatu za Channel O 2014 zilizotolewa Johannesburg South
Africa.
Kwenye msafara wa Diamond Platnumz kulikua na Polisi pia ambao kazi
yao ilikua ni kuhakikisha usalama unakuwepo ambapo sehemu nyingine
Diamond alilazimika kushuka na kutembea kupiga picha na watu wake.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment