
“Hamna, mimi sina matatizo na mtu, Madam sina tatizo naye hakuwahi kuja kunitembelea nyumbani sijajua labda yupo busy na kazi zake ila sina tatizo naye japo kuna wasanii kibao wamekuja kunitembelea. Watu wengi sana, ila sina noma na mtu yoyote” – Mirror
0 comments:
Post a Comment