Baada ya kukamilika kwa utoaji wa tuzo za
MTV Mama 2016 huko Johannesburg Afrika Kusini, Bongo Fleva Super staa
Diamond Platnumz
ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii kutoka Tz aliyewania tuzo hizi
katoka vipengele vya msanii bora wa mwaka na msanii bora wa kiume,alitoa
ujumbe huu baada ya tuzo hizo kubebwa na Mnigeria
WizKid.
“Shukran
sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa….
pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika kuchaguliwa…
Kamwe tusisononeke.. kuingia tu watanzania wengi kwenye MtvAwards ni
hatua kwa Mziki wenu na Ushindi tosha kwa Taifa letu…ila wanna congrats
my brothers @sautisol for the Best Group award… my hommie @jahprayzah and @wizkidayo ya’ll deserve the Trophies…. ????????”
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment