Staa wa Rnb Ciara ametajwa kuwa ni mjamzito hivi karibuni na kwamba
yeye na mume wake Russell Wilson wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza
kwa mujibu wa E! News,
Ciara anaujauzito na anategemea kuwa mama wa mtoto wa Russell,
inasemekana mume wake huyu anataka watoto wawili au watatu, ni mpenzi wa
familia kubwa.
Cici na Russell walifunga ndoa July huko mjini Liverpool, Uingereza.
Taarifa za ujauzito wa Ciara zilianza kusamba Oct. 18 alipoonekana
kwenye hoteli ya Refinery mjini New York City wakati anatangazwa kuwa
balozi wa bidha za Revlon.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment