J. Cole amefanikiwa kupata mauzo ya
Double Platnum [Kopi Zaidi ya Milioni 2] bila
collabo yoyote kwenye album yake. Hii ni hatua kubwa kwenye muziki wake
baada ya rapa huyu kuwa na mauzo haya bila kumshirikisha msanii yoyote
kwenye album hii, ni nguvu ya muziki wake pekee.
Album yake ya mwaka
2014 Forest Hills Drive imefikia mauzo ya 2x platinum kwa mujibu wa Recording Industry Association of America.
Hii ni album ya kwanza ya J Cole kufikia kiwango hichi cha mauzo haya, album yake ya mwaka 2011
Cole World: The Sideline Story, na ya mwaka 2013
Born Sinner zote ziliuza kopi milioni moja tu.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment