Baada ya kutoa mixtape yake ya ‘Black Dollar’ rapa Rick Ross
ametangaza jina la album yake mpya ambayo amesema itaitwa
Black Market. Rick
Ross amesema kwenye interview kuwa album hii ni muendelezo wa mixtape
yake.Akiongelea kazi hii Rozay amesema hii ni Project ambayo ni ya Next
Level, Hii pia itakuwa album ya mwisho kupitia lebel ya Def Jam na
itatoka December 2015.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment