Unaweza ukadhani hakuna kingine kipya kuhusu maisha ya staa Kim Kardashian wa reality show ya
‘Keep Up with Kardashians’.
Upande wa maisha ya nyuma ya uhusiano wa Kim Kadarshian kabla ya kufunga ndoa na
Kanye West, miongoni mwa wanaume aliowahi kuwa nao mapenzini ni pamoja na
RJ, Reggie Bush, Kris Humphrie, Cristiano Ronaldo.
Lakini Kim Kardashian amesema kingine ambacho huenda hukuwahi
kufahamu kuhusu uhusiano wake ya kwanza kabisa, aliingia mapenzini na
mtoto wa kaka wa
Michael Jackson aitwaye
Tito Joe Jackson au
TJ akiwa na miaka 14 tu.

Kim Kardashian akiwa na mama yake Kris Jenner
Katika kitabu cha kumbukumbu ya maisha yake kilichoandaliwa na
Sean Smith kiliweka wazi uhusiano huo ambao hata hivyo haukudumu kwa muda mrefu na kuanza kutoka na RJ.
“Nilianza uhusiano nikiwa na miaka 14 tu” Kim…hakusita pia kumshirikisha mama yake mzazi
Kris Jenner.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment