karibu

karibu
kwa wote wapenda vitu vizur
Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks
Powered By google

Je Drake kamvalisha pete ya uchumba Serena Williams? mwakilishi wa Drake kaongea haya.


drake-serena 

Mwakilishi na msemaji wa rapa Drake amekanusha taarifa kuwa Drake amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa sasa ambaye ni mcheza tennis Serena Williams.
Mwakilishi huyu aliuambia mtandao wa TMZ kuwa taarifa hizi sio za kweli, na kwamba ni mapema sana kwa Drake kufanya hivyo. Drake na Serena walikuwa pamoja wiki hii kwenye maonyesho ya mavazi ya New York Fashion Week.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment


widgeo.net