Zaidi ya watu Million moja wamenunua wimbo wa Wiz Khalifa “See You
Again,” na sasa watu zaidi ya billion moja wametazama video yake.
Rapa Wiz Khalifa amekuwa msanii wa kwanza wa Rap kuwa na video
iliyotazamwa na watu bilioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Video ya
“See You Again” Ft Charlie Puth imeweka rekodi hio.
Wimbo huu ulitumika kwenye filamu ya Furious 7 na ulikaa
kwenye nafasi ya kwanza kwa wiki 12 kwenye chati za bilboard na kuwa
sawa kwenye rekodi ya kufanya hivyo na nyimbo za wasanii kama Eminem na
“Lose Yourself”.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment