
Kwenye freestylem mpya ya The Game, “Since I was 10 years old, I was a young blood,These days y’all nias got Young Thug. Y’all rappers wearing skirts. Our rappers type of rappers put nias in a hearse.”
Beef yao ilianza pale Young Thug alipotaka kuita album yake Carter 6, The Game alijitokeza na kuanza kumtetea Lil Wayne. The Game ameonekana kuhitaji beef hii kutokana na interview anazopata na tension anayohitaji ili kutoa album yake mpya.
0 comments:
Post a Comment