D’Banj anasema alipanga kupatana na kufanya wimbo na Don Jazzy kabla ya kupatanishw na 2 Face Idibia.
Kwenye interview aliyofanya na Vanguard Nigeria, D’Banj anasema
“kampuni ya simu ya Glo imetoa udhamini wa kazi yao mpya ambayo itakuwa
D’Banj na Don Jazzy na kwamba mashabiki wataipenda”.
D’Banj ameongeza kuwa tukipata mashavu ya kutosha basi hata tutaweza kwenda tour.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment