Staa wa Nigeria Wiz Kid ameingia studio na muimbaji kutoka Congo
‘Fally Ipupa’ baada ya kukutana kwenye matayarisho ya show ambayo wote
wamepangwa kufanya pamoja huko Paris.
Wiz Kid aliandika kwenye picha na Fally ” Good day Paris, studio link up with the brother Fally Ipupa.
Sababu album ya Wiz Kid inatoka mwaka 2016, wimbo huu ni miongoni mwa
nyimbo ambazo labda zitakuwepo kwenye album yake mpya ambayo mpaka sasa
haijapewa jina.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment