Rapa na mwandishi wa nyimbo aliyewahi kuwa mchumba wa Nicki Minak
‘Safaree’ amemponda Nicki Minaj kwa kutomtaja kwenye album zake baada ya
kumuandikia nyimbo.
Safaree amemsaidia rnb K. Michelle kuandika album yake mpya na Safaree ametajwa kwenye album kama mwandishi wa nyimbo.
Safaree ameandika Instagram “Asante kwa kunitaja kwenye album yako kama mwandishi wa nyimbo zako, sijazoea kufanyiwa hivyo “.
Comment hii imetafsiriwa kama kumponda Minaj sababu aliwahi kukana kuandikiwa na Safaree.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment