Izzo Bizness na wimbo mpya,Kesi ya Emmanuel Mbasha,Viola Davis na tuzo yake.
Baadhi ya habari za burudani zilizotawala kwenye mitandao ya kijamii leo September 21
Mahakama ya Ilala jijini Dar es salaam imemuachia huru muimbaji wa
nyimbo za injili Emmanuel Mbasha baada ya kuonekana hana hatia katika
kesi ya ubakaji iliyokuwa inamkabili
Viola Davis amekuwa mwanamke mweusi wa kwanza kushinda tuzo ya
muigizaji bora wa kike kwenye tuzo za EMMY nchini Marekani,
kupitiatamthilia ya ‘Get Away With Murder’.
0 comments:
Post a Comment