Barakah Da Prince baada ya kujipatia mafanikio
kupitia muziki wake leo 255 imepiga naye stori kuhusu alipotota..
amefunguka na kusema alivyoanza muziki alikua mbunifu sana..uwezo wake
ulifahamika wakati wa show za fiesta Mikoani ngawa mwanzo alipata shida
sana baada ya kutopewa nafasi na ikambidi atumie gharama zake kuzunguka
Mikoani wakati wasanii wengine wakienda kuperfom.

Barakah Da Prince
Joh Makini amefunguka kuhusu mchakato wa kurekodi
ngoma na Davido na kusema kuwa mpaka sasa hajajua wimbo utakuwa wa kwake
au wa Davido au watashirikiana pamoja, bado wapo kwenye
mazungumzo…Davido amekua akimtafuta ili afanye naye collabo.alimuona
kwenye fiesta.itakua mwaka huu.

Joh Makini
Hivi karibuni shetta alishare picha akiwa na marafiki zake Afrika
Kusini.. baadhi ya watu wakamuhisi najihusisha na dawa za
kulevya…mwenyewe leo amefunguka na kusema haumizwi na vitu ambavyo
anazushiwa, anafanya maisha yaken na muziki wake…amezushiwa anauza dawa
za kulevya lakini si kweli..hapendi kuingiliwa uhuru wake wa kuwa na
marafiki.

Shetta
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment