Rapa Young Thug anafahamika kwa kuwa na watoto tisa na kuimba sana kuhusu ngono na tendo la ndoa ila kwenye interview mpya amesema yeye sio shabiki mkubwa wa NGONO.

Mpenzi wake Jerricka anasema“Hatukufanya tendo la ndoa kwa miezi sita, Thig naye anasema sijali mambo hayo ya ngono kabisa, mara ya kwanza Jerricka alinilazimisha tu na kunivuta chumbani ”
Rapa Young Thug anatajwa kuwa na watoto tisa na mama tofauti.
0 comments:
Post a Comment