karibu

karibu
kwa wote wapenda vitu vizur
Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks
Powered By google

Maamuzi mapya ya Lionel Messi kuhusu Argentina baada ya kukaa na kutafakari


Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya HispaniaLionel Messi, August 12 2016 ametangaza kubadili maamuzi kuhusu soka la kimataifa, baada ya awali kutangaza kustaafu kuichezea Argentina.
Messi alitangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Argentina baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Copa America 2016 dhidi ya Chile na kupoteza mchezo huo, kutokana na Messi kupoteza fainali yake ya tatu mfululizo akiwa na Argentina aliamua kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa.
August 12 2016 chama cha soka cha Argentina AFA kimetangaza Lionel Messi kubadili maamuzi yake na kuwa ataendelea kuichezea timu ya taifa ya Argentina kama kawaida, June 27 2016 Argentina alicheza mchezo wa fainali ya Copa America dhidi ya Chile na kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-2.
Argentina's Lionel Messi celebrates after scoring a free-kick against Panama during the Copa America Centenario football tournament in Chicago, Illinois, United States, on June 10, 2016.  / AFP / OMAR TORRES
Argentina's Lionel Messi celebrates after scoring a free-kick against Panama during the Copa America Centenario football tournament in Chicago, Illinois, United States, on June 10, 2016.  / AFP / OMAR TORRES
Statement ya AFA iliyothibitisha kurejea kwa Lionel Messi timu ya taifa
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment


widgeo.net