Lil Wayne amethibitisha ujio wa kitabu chake cha Gone Til November kuwa kinatoka October na kujiunga na LAT.
Rapa Lil Wayne ambaye yupo chini ya Cash Money kupitia Young Moeny ametangaza kujiunga na kundi lingine la RAP. Lil Wayne ambaye kwa sasa hafanyi interview nyingi ameongea na Wild Wayne kutoka radio ya New Orleans ‘Q93’ akiwa anatangaza show yake ya Lil Weezyana Fest.


Lil Wayne pia amesema kwa sasa amejiunga na kundi la Rap la L.A.T. (Loyalty Amongst Thieves). Kundi hili liliundwa na rapa wa Young Money Gudda Gudda.
Wasanii waliokuwa kwenye kundi hilo ni pamoja na Flow na Kevin Gates na walivyotoka ndio akapata nafasi yeye na HoodyBaby.
0 comments:
Post a Comment