Majaji wengine ni pamoja na Gabby Douglas, staa wa Disney Laura Marano,Mmiliki wa Dallas Mavericks Mark Cuban, mwigizaji Sara Foster, muimbaji wa muziki wa Country Cole Swindell na aliyekuwa miss America Sharlene Wells Hawkes.
Rnb staa ‘Ciara’ ambaye ni Mke wa mchezaji wa Seattle Seahawks ‘Russell Wilson’amekuwa mtu wa mwisho kuchaguliwa kujiunga na kundi la majaji wa shindano la urembo la Miss America 2017.

Miss America itaruka Live kutoka Mjini Atlantic Sept. 11.
0 comments:
Post a Comment