Rapa Dogo Janja amethibitisha kuwa jana kwenye siku yake ya kuzaliwa
amenunuliwa gari mpya na Madee ambaye ni kama mlezi wake kwa muda mrefu.
Birthday ya Dogo Janja ilikuwa Sept 15 na amefikisha miaka 21.
Dogo Janja amemshukuru Madee na Bab Tale kwa mchango wao.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment