karibu

karibu
kwa wote wapenda vitu vizur
Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks
Powered By google

Kuhusu filamu mpya ya 2 Pac na atakaye ongoza filamu hii.


ATLANTA - MAY 5:  Tupac Shakur poses for a portrait at his home in Atlanta on May 5, 1993.  (Photo by Chi Modu/diverseimages/Getty Images) *** Local Caption *** Tupac Shakur
 Tupac Shakur
Producer anayehusika na filamu ya maisha ya rapa 2 Pac ‘ Randall Emmett’ amesema utengenezwa ji wa filamu hii unaanza December 2015.
Filamu hii itaongozwa na kutayarisha na producer Lenton Terrell “LT” Hutton.
LT Hutton amefahamika kama producer wa wasanii Snoop Dogg, Nate Dogg, MC Ren na amekuwa akitaka kutengeneza filamu ya maisha ya 2 Pac kwa zaidi ya miaka miwili.
Emmett anafahamika kama producer mkali kutoka Hollywood na alitayarisha filamu kama Rambo ya mwaka 2008, End Of Watch ya 2012, Lone Survivor ya 2013 na show ya Power ya 50 Cent.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment


widgeo.net