Kazi mpya za kundi la P Square zimeanza kuonyesha wazi kuwa kundi
hili linaloundwa na wasanii Peter na Paul Okoye ‘P-Square’ halifanyi
tena kazi na kampuni ya Akon ya ‘Konvict Music’ .
Miaka minne iliyopita P Square walijiunga na Konvict Music na wimbo
wao wa kwanza ulikuwa Chop My Money na kufwatiwa na rekodi zingine kama
Beutiful Onyinye, Testimoney ambazo zote zilikuwa na logo ya kampuni ya
Akon.
Kwenye nyimbo zao mpya zilizotoka logo ya kampuni ya Konvict
haijaonekana kwenye cover zinazo OMG (Free Me) hakuna logo ya Konvict
Music.
Akon alikuwa Nigeria hivi karibuni na alikuwa karibu na P Sqaure, inaonekana wamebaki kuwa washkaji tu.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment