Kuelekea siku yake ya kuzaliwa ambapo atafikisha miaka muimbaji
Innocent ‘2face’Idibia ametangaza rasmi ujio wa kitabu chake cha
storikuhusu maisha yake kilichopewa jina ‘
A Very Good Bad Guy: The Story Of Innocent 2Face Idibia.
Kitabu hichi kitatoka kwenye siku yake ya kuzaliwa na kimehaririwa na
msemaji wa 2 Face wa zamani Ayeni Adekunle. Kitabu kitahusu stori za
mchango wa mama yake, mke wake na marafiki wa 2 Face.
Kitabu hichi pia kitaongelea muziki, mashairi na maisha binafsi ya 2 Face.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment