karibu

karibu
kwa wote wapenda vitu vizur
Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks
Powered By google

Picha matokeo FC Barcelona Vs Levante hapa


Klabu ya FC Barcelona imeshuka dimbani September 20 kucheza mechi dhidi ya klabu ya Levante katika uwanja wa nyumbani wa FC Barcelona Nou Camp. Wababe hao wa Hispania hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, mchezo ulikuwa suluhu kwani Levante walifanikiwa kujilinda wasifungwe goli.
neymarlionelmessijordialba-cropped_1468tdwuvqbps1r0gbzn3w2ofg
Mechi imemalizika kwa klabu ya FC Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 4-1, magoli ya FC Barcelona yamefungwa na Marc Bartra dakika ya 50, Neymar dakika ya 56, Lionel Messi ambaye alipata nafasi ya kupiga penati mbili na kushinda moja, amefunga magoli mawili dakika ya 61 na 90, goli pekee la Levante limefungwa na Victor Casadesus dakika ya 66 ya mchezo.
barcelona-levante-messi
1442779041158_lc_galleryImage_Barcelona_s_Brazilian_for
1442779752532_lc_galleryImage_FC_Barcelona_s_Lionel_Mes
1442780596890_lc_galleryImage_epa04941329_FC_Barcelona_
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment


widgeo.net