
Muimbaji kutoka Nigeria Iyanya amekamilisha
na kutoa album yake mpya ‘Applaudise’ na imefahamika kuwa wasanii 14
wameshirikishwa akiwemo Mtanzania mmoja.
Wasanii Diamond Platnumz, Victoria Kimani, Don Jazzy,Patoranking, Mc
Galaxy, Olamide, Lil Kesh, Harrysong, Tekno,Mystro, Seyi Shay, Dammy
Krane, Efya na Srakodie
0 comments:
Post a Comment