Diamond Platnumz December 2 2014 amewasili Tanzania kutoka Afrika Kusini akiwa na tuzo tatu kutoka Channel O, Tuzo zilifanyika Johannesburg na Mtanzania mwenzetu Diamond Platnumz alikuwa akiwania tuzo nne kwenye vipengele tofauti na kushinda tatu ambazo ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hizi Picha baada ya kupokelewa alivyofika Escape One kufanya mkutano na vyombo vya hanari.
0 comments:
Post a Comment