HOMA YA DENGUE NI NINI? ZIJUE DALILI ZA UGONJWA HUU NA JINSI UNAVYO ENEZWA NA DALILI ZAKE
HOMA YA DENGUE NI NINI? ZIJUE DALILI ZA UGONJWA HUU NA JINSI UNAVYO ENEZWA NA DALILI ZAKE.
Ugonjwa wa dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mswenye virusi vya
ugonjwa huu. mbu hupata virusi vya homa ya dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu.na pia
ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyo.
DALILI ZA UGONJWA HUU:
1.Homa kali ya gafla kuumwa na kichwa hususani sehemu za machoni.
2.Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili .
3.Kkichefu chefu au kutapika kutokwa na damu kwenye fizi na sehem za uwazi za mwili.
4.Uchovu.
Ukimsikia ndugu au jamaa yako anasema kuwa nadalili hizi muwahishe hospitali mapema.
0 comments:
Post a Comment