HIVI NDIVYO ILIVYOKUA SIKU YA TAREHE 8-8-2014 MKOANI LINDI MAENEO YA NGONGO FUATILIA
Ni katika maonyesho ya nanenane mkoani lindi kulikua na vitu mbali mbali na tofauti tofauti hii ilikua upande
wa kilimo na mbegu bora zenye kustawi vizuri iliyojumuuisha ulimaji wa mihogo,korosho,arizeti,kabichi ndiz na
mboga mboga zingine nyingi na pia madawa ya aina tofauti tofauti ya wadudu waharibifu yalipatikana hapo..
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment