Kundi la Sauti Sol lenye vijana wanne wa Kenya
Bien-Aimé Baraza,
Willis Chimano,
Savara Mudigi na
Polycarp Otienola limefanikiwa kushinda tuzo ya kundi bora katika tuzo za kimataifa za MTV MAMA 2016 Zilizofanyika Afrika Kusini Weekedn hii.
Sauti Sol ni miongoni mwa makundi yenye muziki mzuri na lenye
mashabiki wengi sehemu tofauti Africa. Wimbo wao mkubwa mwaka 2016 ni
pamoja na
Sauti Sol and Alikiba ‘Unconditionally Bae’ na Yemi Alade – Africa (Official Video) ft. Sauti Sol.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment