karibu

karibu
kwa wote wapenda vitu vizur
Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks
Powered By google

Staa aliyetua London kukamilisha usajili wake Arsenal

Mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Deportivo La CorunaLucas Perez leo August 29 2016 amepigwa picha akiwa katika uwanja wa ndege waHeathrow uliyopo London akiripotiwa kuelekea kukamilisha dili lake na Arsenal.
37B01ABA00000578-3763845-image-a-27_1472489518865
Lucas Perez alianza kuripotiwa na Sportsmail ijumaa iliyopita kuwa alikuwa London na tayari alishafanyiwa vipimo vya afya ndani ya Arsenal, hivyo dili lililokuwa limebakia ni kusaini mkataba wa kujiunga na Arsenal tu leo.
37B0127700000578-3763845-image-m-22_1472489480778
Staa huyo ambaye ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wanaounda safu imara ya ushambuliaji ya Deportivo La Coruna, anaripotiwa kukaribia kujiunga na Arsenal kwa dau la usajili la pound milioni 17, hivyo kuonekana kwake leo katika uwanja wa ndege wa Heathrow inatajwa kuwa ndio anaenda kukamilisha dili lake Arsenal
.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment


widgeo.net