karibu

karibu
kwa wote wapenda vitu vizur
Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks
Powered By google

Fid Q ameamua kufata nyayo za Kanye West,anachotaka kufanya kiko hapa…

fiiid
Kuhusu lile koti,ile ni fashion ambayo mimi nimeamua kuifanya iwe trend,unajua watanzania walitaka Kanye West aanze ili mimi nikifatia ionekane kawaida lakini wameshau mimi hufikiria kama au sometimes zaidi ya hao kina Kanye West.Kama ningetaka koti zuri zaidi ya lile ningeweza ku afford kununua,wajue ile ni fasheniu na nimependa wanavyoiongelea kwa sababu nafikiria kutoa makoti yangu ambayo bega moja limeharibika halafu nikaweka nembo yangu” alifunguka Fid Q.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment


widgeo.net