Muimbaji kutoka Nigeria Wiz Kid amehairisha kutoa album yake mwezi
huu kama ilivyopangwa mapema. Album hii mpya ya WizKid inayotoka chini
ya leleb yake ya Starboy itatoka 2016.
Wizkid ametangaza album yake ya tatu itatoka mwaka 2016 kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya 2 Face Idibia.
Kwa nyimbo anazotengeneza kwa sasa album ya tatu inaweza kuwa album
bora zaidi ya WizKid. Mpaka sasa ana album mbili ambazo ni Superstar ya
2011 na Ayo ya 2014.
Badala ya album yake kutoka , Ep ya nyimbo 10 na video 10 itatoka October 2016.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment