Rapa Big Boi wa OutKast amezungumzia filamu yao ya maisha ya Outkast
biopic. Big Boi amesema ni kweli yeye na Andre 3000 wameongelea jambo
hilo hivi karibuni.Outkast ni miongoni mwa makundi ya hiphop yaliyodumu
kwa muda mrefu zaidi na watu wangependa kuona stori yao
Kundi la Outkast halijatoa wimbo au album toka album yao ya mwisho ya Idlewild mwaka 2006.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment