
Wakati tunasubiri album mpya ya Davido
inayotoka kabla ya mwisho wa mwezi wa tisa, Davido amethibitisha kuwa
collabo yake na Trey Songz imekamilika. Wimbo wa Davido na Trey Songz
unaitwa “Wetin U Say” na wasanii wote wawili wamethibitisha kuhusika
kwenye rekodi hii.
Blog za Nigeria zimeripoti kuwa wimbo huu ndio ulichelewesha kutoka kwa album hii mpya ya Davido.

0 comments:
Post a Comment