Nay wa Mitego amesema akimaliza ujenzi wa nyumba yake mpya ya kifahari
iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, atanunua gari aina ya Range Rover.
Nay ambaye amenunua gari mpya, Prado Land Cruiser hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa lengo lake ni kumiliki Range.
“Bado sijapata gari ninayoihitaji, mpango wangu ni Range nikimaliza nyumba yangu ya Tabata,” alisema Nay.
“Hii Prado ni mpya lakini ina kazi maalum. Hii ni kwaajili shows za
mikoani. Nimenunua milioni 60, ni mpya kabisa ndio maana unaona hata
namba haina ila ikikamilika kila kitu itakuwa barabarani soon.”
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment