Posted by:
December 5, 2014

.
Watu ambao wameshawahi kuchora tatoo wanasimulia maumivu makali
wakati wa kuchora tatoo hizo, lakini kwa upande wa msanii wa Filamu
nchini Jacqueline Wolper labda anapenda hayo maumivu makali ya kuchora
tatoo.
Hivi sasa amepost picha mpya instagram inayoonesha akichorwa tatoo
mpya ambayo bado haijajulikana ni tatoo ya aina gani pamoja na sababu za
tatoo hiyo.

.

.

.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment