Kupitia kurasa yake ya Instagram msanii Ali Kiba ametufahamisha kuwa
yuko South Africa mjini Cape Town akifanya video. Hajaweka wazi ni video
ya wimbo upi ila inawezekana kuwa video ya ‘Mwana’ sababu ndio wimbo
unaofanya vizuri kwa sasa.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment