Producer aliyechukua tuzo ya mtayarishaji bora mwaka 2014
amefunguliwa kesi na rafiki yake ambaye walishirikiana kutengeneza kazi
nyingi za muziki ambazo Mustard mwenyewe.
Mustard amekuwa akipewa sifa nyingi kuwa ni producer mkali baada ya kutengeneza kazi kama “Rack City” ya Tyga na “My Ni**a” .
Music composer Mike Free amesema ameandika na kutayarisha nyimbo kama
Rack City ambayo aliuziwa Tyga na mpaka sasa hajalipwa na kupewa haki na
sifa za wimbo huo.
Nyimbo zingine alizoandika Mike Free ni pamoja na “I’m Different” ya
2Chainz , “Don’t Tell ‘Em” ya Jeremih, “Party Ain’t a Party” ya Jamie
Foxx na “I Don’t F**k With You” ya Big Sean.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment